Psalms 113:2 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Jina lake litukuzwe, sasa na hata milele.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Jina la Mwenyezi Mungu na lisifiwe, sasa na hata milele.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Jina la Bwana lihimidiwe Tangu leo na hata milele.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Jina lake litukuzwe, sasa na hata milele.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Jina la BWANA na lisifiwe, sasa na hata milele.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Jina la bwana na lisifiwe, sasa na hata milele.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Jina la BWANA lihimidiwe Tangu leo na hata milele.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Jina lake litukuzwe, sasa na hata milele.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Jina lake Bwana na likuzwe kuanzia sasa hata kale na kale!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Jina la BWANA lihimidiwe Tangu leo na hata milele.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Jina lake litukuzwe, sasa na hata milele.