Psalms 113:3 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kutoka mashariki na hata magharibi, litukuzwe jina la Mwenyezi-Mungu!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kuanzia mawio ya jua hadi machweo yake, jina la Mwenyezi Mungu linapaswa kusifiwa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Toka maawio ya jua hata machweo yake Jina la Bwana husifiwa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kutoka mashariki na hata magharibi, litukuzwe jina la Mwenyezi-Mungu!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kuanzia maawio ya jua hadi machweo yake, jina la BWANA linapaswa kusifiwa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kuanzia mawio ya jua hadi machweo yake, jina la bwana linapaswa kusifiwa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Toka mawio ya jua hata machweo yake Jina la BWANA husifiwa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kutoka mashariki na hata magharibi, litukuzwe jina la Mwenyezi-Mungu!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Toka maawioni kwa jua mpaka machweoni kwake Jina lake Bwana na lishangiliwe!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Toka maawio ya jua hata machweo yake Jina la BWANA husifiwa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kutoka mashariki na hata magaribi, litukuzwe jina la Yawe!