Psalms 113:4 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mwenyezi-Mungu atawala juu ya mataifa yote, utukufu wake wafika juu ya mbingu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mwenyezi Mungu ametukuka juu ya mataifa yote, utukufu wake juu ya mbingu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bwana ni mkuu juu ya mataifa yote, Na utukufu wake ni juu ya mbingu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwenyezi-Mungu atawala juu ya mataifa yote, utukufu wake wafika juu ya mbingu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
BWANA ametukuka juu ya mataifa yote, utukufu wake juu ya mbingu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
bwana ametukuka juu ya mataifa yote, utukufu wake juu ya mbingu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
BWANA ni mkuu juu ya mataifa yote, Na utukufu wake ni juu ya mbingu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwenyezi-Mungu atawala juu ya mataifa yote, utukufu wake wafika juu ya mbingu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Bwana anatukuka kuwapita wamizimu wote, utukufu wake unaupita nao wake mbingu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
BWANA ni mkuu juu ya mataifa yote, Na utukufu wake ni juu ya mbingu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yawe anatawala juu ya mataifa yote, utukufu wake unafika juu ya mbingu.