Psalms 113:5 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nani aliye kama Mwenyezi-Mungu, Mungu wetu? Yeye ameketi juu kabisa;
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ni nani aliye kama Mwenyezi Mungu, Mungu wetu, Yule aliyeketi kwenye kiti cha enzi huko juu,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ni nani aliye mfano wa Bwana, Mungu wetu aketiye juu;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nani aliye kama Mwenyezi-Mungu, Mungu wetu? Yeye ameketi juu kabisa;
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ni nani aliye kama BWANA Mungu wetu, Yeye ambaye ameketi juu kwenye kiti cha enzi,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ni nani aliye kama bwana Mwenyezi Mungu wetu, Yeye ambaye ameketi juu kwenye kiti cha enzi,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ni nani aliye mfano wa BWANA, Mungu wetu aketiye juu;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nani aliye kama Mwenyezi-Mungu, Mungu wetu? Yeye ameketi juu kabisa;
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Afananaye na Bwana Mungu wetu yuko nani? Naye alijipatia kao huko juu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ni nani aliye mfano wa BWANA, Mungu wetu aketiye juu;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nani anayekuwa kama Yawe, Mungu wetu? Yeye anakaa juu kabisa;