Psalms 113:6 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
lakini anatazama chini, azione mbingu na dunia.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
ambaye huinama atazame chini aone mbingu na nchi?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Anyenyekeaye kutazama, Mbinguni na duniani?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
lakini anatazama chini, azione mbingu na dunia.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
ambaye huinama atazame chini aone mbingu na nchi?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
ambaye huinama atazame chini aone mbingu na nchi?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Anyenyekeaye kutazama, Mbinguni na duniani?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
lakini anatazama chini, azione mbingu na dunia.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Anajinyenyekeza, ayatazame yaliyoko mbinguni nayo yaliyoko nchini.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Anyenyekeaye kutazama, Mbinguni na duniani?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
lakini anachungulia chini, aangalie mbingu na dunia.