Psalms 113:7 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Humwinua fukara kutoka mavumbini; humnyanyua maskini kutoka unyonge wake,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Huwainua maskini kutoka mavumbini, na kuwanyanyua wahitaji kutoka lundo la majivu,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Humwinua mnyonge kutoka mavumbini, Na kumpandisha maskini kutoka jaani.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Humwinua fukara kutoka mavumbini; humnyanyua maskini kutoka unyonge wake,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Huwainua maskini kutoka mavumbini, na kuwanyanyua wahitaji kutoka kwenye jalala,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Huwainua maskini kutoka mavumbini, na kuwanyanyua wahitaji kutoka kwenye jalala,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Humwinua mnyonge kutoka mavumbini, Na kumpandisha maskini kutoka jaani.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Humwinua fukara kutoka mavumbini; humnyanyua maskini kutoka unyonge wake,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Humsimamisha akorofikaye na kumwinua uvumbini, naye mkiwa humkweza na kumtoa kwenye taka,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Humwinua mnyonge kutoka mavumbini, Na kumpandisha maskini kutoka jaani.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Anamwinua muzaifu toka katika mavumbi, anamunyanyua mukosefu toka yalala,