Psalms 113:8 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
na kumweka pamoja na wakuu; pamoja na wakuu wa watu wake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
huwaketisha pamoja na wakuu, pamoja na wakuu wa watu wake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Amketishe pamoja na wakuu, Pamoja na wakuu wa watu wake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
na kumweka pamoja na wakuu; pamoja na wakuu wa watu wake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
huwaketisha pamoja na wakuu, pamoja na wakuu wa watu wake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
huwaketisha pamoja na wakuu, pamoja na wakuu wa watu wake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ili amketishe pamoja na wakuu, Pamoja na wakuu wa watu wake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
na kumweka pamoja na wakuu; pamoja na wakuu wa watu wake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
amkalishe pamoja nao walio wakuu, kweli pamoja nao wakuu wao wlaio ukoo wake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Amketishe pamoja na wakuu, Pamoja na wakuu wa watu wake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
na kumuweka pamoja na wakubwa, pamoja na wakubwa wa watu wake.