Psalms 113:9 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Humjalia mwanamke tasa furaha nyumbani kwake; humfurahisha kwa kumjalia watoto. Msifuni Mwenyezi-Mungu!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Humjalia mwanamke tasa kutulia nyumbani mwake, akiwa mama watoto mwenye furaha. Msifuni Mwenyezi Mungu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Huweka nyumbani mwanamke aliye tasa, Awe mama ya watoto mwenye furaha.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Humjalia mwanamke tasa furaha nyumbani kwake; humfurahisha kwa kumjalia watoto. Msifuni Mwenyezi-Mungu!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Humjalia mwanamke tasa kutulia nyumbani mwake, akiwa mama wa watoto mwenye furaha. Msifuni BWANA.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Humjalia mwanamke tasa kutulia nyumbani mwake, akiwa mama watoto mwenye furaha. Msifuni bwana.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Humweka nyumbani mwanamke aliye tasa, Awe mama wa watoto, mwenye furaha.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Humjalia mwanamke tasa furaha nyumbani kwake; humfurahisha kwa kumjalia watoto. Msifuni Mwenyezi-Mungu!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Naye mwanamke akosaye watoto humweka nyumbani kuwa mama ya watoto wenye furaha.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Huweka nyumbani mwanamke aliye tasa, Awe mama ya watoto mwenye furaha.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Anamurudishia heshima mwanamuke anayekuwa tasa; anamufurahisha kwa kumujalia watoto. Haleluia!