Psalms 114:1 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Watu wa Israeli walipotoka Misri, wazawa wa Yakobo walipotoka ugenini,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Israeli alipotoka Misri, nyumba ya Yakobo kutoka kwa watu wa lugha ngeni,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Haleluya. Israeli alipotoka Misri, Na Yakobo katika watu wa lugha ya kigeni.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Watu wa Israeli walipotoka Misri, wazawa wa Yakobo walipotoka ugenini,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakati Israeli walipotoka Misri, nyumba ya Yakobo kutoka kwa watu wa lugha ngeni,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakati Israeli walipotoka Misri, nyumba ya Yakobo kutoka kwa watu wa lugha ngeni,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Haleluya. Israeli alipotoka Misri, Na Yakobo katika watu wa lugha ya kigeni.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Watu wa Israeli walipotoka Misri, wazawa wa Yakobo walipotoka ugenini,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Waisiraeli walipotoka kule Misri, wa mlango wa Yakobo walipotoka kwao wasemao msemo mgeni,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Haleluya. Israeli alipotoka Misri, Na Yakobo katika watu wa lugha ya kigeni.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Watu wa Israeli walipotoka Misri, wazao wa Yakobo walipotoka katika inchi ya kigeni,