Psalms 114:2 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yuda ikawa maskani ya Mungu, Israeli ikawa milki yake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yuda alifanywa makao matakatifu ya Mungu, Israeli akawa milki yake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Yuda ilikuwa patakatifu pake, Israeli milki yake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yuda ikawa maskani ya Mungu, Israeli ikawa milki yake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yuda akawa makao matakatifu ya Mungu, Israeli akawa milki yake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yuda alifanywa makao matakatifu ya Mungu, Israeli akawa milki yake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Yuda ilikuwa patakatifu pake, Israeli milki yake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yuda ikawa maskani ya Mungu, Israeli ikawa milki yake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, Yuda alipopata kuwa mwenye Patakatifu pao, naye Isiraeli mwenye ufalme wao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Yuda ilikuwa patakatifu pake, Israeli milki yake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yuda ikakuwa makao ya Mungu, Israeli ikakuwa urizi wake.