Psalms 114:5 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ee bahari, imekuwaje hata ukakimbia? Nawe Yordani, kwa nini ukaacha kutiririka?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ee bahari, ni nini kilichokufanya ukakimbia, nawe, ee Yordani, ukarudi nyuma,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ee bahari, una nini, ukimbie? Yordani, urudi nyuma?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ee bahari, imekuwaje hata ukakimbia? Nawe Yordani, kwa nini ukaacha kutiririka?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ee bahari, ni nini kilichokufanya ukakimbia, Ee Yordani, nawe ukarudi nyuma,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ee bahari, ni nini kilichokufanya ukakimbia, nawe, ee Yordani, ukarudi nyuma,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ee bahari, una nini, hata ukimbie? Yordani, ndio urudi nyuma?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ee bahari, imekuwaje hata ukakimbia? Nawe Yordani, kwa nini ukaacha kutiririka?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wewe, bahari, ulionaje ulipokimbia? Wewe Yordani nawe, uliporudi nyuma?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ee bahari, una nini, ukimbie? Yordani, urudi nyuma?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ee bahari, nini iliyokufikia hata ukakimbia? Nawe Yordani, kwa nini uliacha kutiririka?