Psalms 114:6 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Enyi milima, mbona mliruka kama kondoo dume? Nanyi vilima, mmerukaje kama wanakondoo?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
enyi milima mkarukaruka kama kondoo dume, enyi vilima, kama wana-kondoo?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Enyi milima, mruke kama kondoo waume? Enyi vilima, kama wana-kondoo?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Enyi milima, mbona mliruka kama kondoo dume? Nanyi vilima, mmerukaje kama wanakondoo?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
enyi milima mkarukaruka kama kondoo waume, enyi vilima, kama wana-kondoo?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
enyi milima mkarukaruka kama kondoo dume, enyi vilima, kama wana-kondoo?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Enyi milima, ndio mruke kama kondoo dume? Enyi vilima, kama wana-kondoo?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Enyi milima, mbona mliruka kama kondoo dume? Nanyi vilima, mmerukaje kama wanakondoo?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nanyi milima, mliporukaruka kama kondoo waume? Nanyi vilima vidogo, mliporukaruka kama wana wa kondoo?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Enyi milima, mruke kama kondoo waume? Enyi vilima, kama wana-kondoo?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Enyi milima, mbona muliruka kama kondoo dume? Nanyi vilima, namna gani mumeruka kama mwana-kondoo?