Psalms 114:7 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Tetemeka, ee dunia mbele yake Mwenyezi-Mungu; tetemeka mbele ya Mungu wa Yakobo,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ee dunia, tetemeka mbele za Bwana, mbele za Mungu wa Yakobo,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tetemeka, Ee nchi, mbele za uso wa Bwana, Mbele za uso wa Mungu wa Yakobo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Tetemeka, ee dunia mbele yake Mwenyezi-Mungu; tetemeka mbele ya Mungu wa Yakobo,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ee dunia, tetemeka mbele za Bwana, mbele za Mungu wa Yakobo,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ee dunia, tetemeka mbele za Bwana, mbele za Mungu wa Yakobo,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tetemeka, Ee nchi, mbele za uso wa Bwana, Mbele za uso wa Mungu wa Yakobo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Tetemeka, ee dunia mbele yake Mwenyezi-Mungu; tetemeka mbele ya Mungu wa Yakobo,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Tetemeka, wewe nchi, Bwana akitokea, Mungu wake Yakobo akitokea mwenyewe!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tetemeka, Ee nchi, mbele za uso wa Bwana, Mbele za uso wa Mungu wa Yakobo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Utetemeke, ee dunia, mbele ya Yawe; utetemeke mbele ya Mungu wa Yakobo,