Psalms 114:8 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
anayeugusa mwamba ukawa bwawa la maji, nayo majabali yakawa chemchemi za maji!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
aliyegeuza mwamba kuwa dimbwi la maji, mwamba mgumu kuwa chemchemi za maji.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Augeuza mwamba kuwa ziwa la maji, Jiwe gumu kuwa chemchemi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
anayeugusa mwamba ukawa bwawa la maji, nayo majabali yakawa chemchemi za maji!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
yeye aliyegeuza mwamba kuwa dimbwi la maji, mwamba mgumu kuwa chemchemi za maji.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
aliyegeuza mwamba kuwa dimbwi la maji, mwamba mgumu kuwa chemchemi za maji.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Augeuzaye mwamba kuwa ziwa la maji, Jiwe gumu kuwa chemchemi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
anayeugusa mwamba ukawa bwawa la maji, nayo majabali yakawa chemchemi za maji!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Anaugeuza mwamba kuwa ziwa la maji, nayo mawe magumu kuwa mboji za maji.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Augeuza mwamba kuwa ziwa la maji, Jiwe gumu kuwa chemchemi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
anayegeuza jiwe kubwa kuwa ziwa, nalo jiwe gumu kuwa chemichemi za maji!