Psalms 115:1 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Sio sisi, ee Mwenyezi-Mungu, sio sisi; bali wewe peke yako utukuzwe, kwa ajili ya fadhili zako na uaminifu wako.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Sio kwetu sisi, Ee Mwenyezi Mungu, sio kwetu sisi, bali utukufu ni kwa jina lako, kwa sababu ya upendo na uaminifu wako.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ee Bwana, kutukuza usitutukuze sisi, Bali ulitukuze jina lako, Kwa ajili ya fadhili zako, Kwa ajili ya uaminifu wako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Sio sisi, ee Mwenyezi-Mungu, sio sisi; bali wewe peke yako utukuzwe, kwa ajili ya fadhili zako na uaminifu wako.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Sio kwetu sisi, Ee BWANA, sio kwetu sisi bali utukufu ni kwa jina lako, kwa sababu ya upendo na uaminifu wako.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Sio kwetu sisi, Ee bwana, sio kwetu sisi, bali utukufu ni kwa jina lako, kwa sababu ya upendo na uaminifu wako.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ee BWANA, kutukuza usitutukuze sisi, Bali ulitukuze jina lako, Kwa ajili ya fadhili zako, Kwa ajili ya uaminifu wako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Sio sisi, ee Mwenyezi-Mungu, sio sisi; bali wewe peke yako utukuzwe, kwa ajili ya fadhili zako na uaminifu wako.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Sisi sio, Bwana, sisi sio tupaswao na kutukuzwa, ila Jina lako sharti ulipatie utukufu kwa ajili ya upole wako na kwa ajili ya welekevu wako.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ee BWANA, kutukuza usitutukuze sisi, Bali ulitukuze jina lako, Kwa ajili ya fadhili zako, Kwa ajili ya uaminifu wako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Si sisi, ee Yawe, si sisi; lakini wewe peke yako utukuzwe, kwa ajili ya wema na uaminifu wako.