Psalms 115:11 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Enyi mnaomcha Mwenyezi-Mungu, mtumainini, yeye ndiye msaada wenu na ngao yenu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ninyi mnaomcha, mtumainini Mwenyezi Mungu, yeye ni msaada na ngao yao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Enyi mmchao Bwana, mtumainini Bwana; Yeye ni msaada wao na ngao yao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Enyi mnaomcha Mwenyezi-Mungu, mtumainini, yeye ndiye msaada wenu na ngao yenu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ninyi mnaomcha, mtumainini BWANA, yeye ni msaada na ngao yenu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ninyi mnaomcha, mtumainini bwana, yeye ni msaada na ngao yao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Enyi mmchao BWANA, mtumainini BWANA; Yeye ni msaada wao na ngao yao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Enyi mnaomcha Mwenyezi-Mungu, mtumainini, yeye ndiye msaada wenu na ngao yenu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ninyi mmwogopao Bwana, mwegemmeni Bwana! Yeye ni msaada wao na ngao yao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Enyi mmchao BWANA, mtumainini BWANA; Yeye ni msaada wao na ngao yao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Enyi munaomwabudu Yawe, mumutumainie, yeye ndiye musaada wenu na ngao yenu.