Psalms 115:12 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mwenyezi-Mungu atukumbuka na atatubariki; atawabariki watu wa Israeli, atawabariki wazawa wa Aroni.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mwenyezi Mungu anatukumbuka na atatubariki: ataibariki nyumba ya Israeli, ataibariki nyumba ya Haruni,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bwana ametukumbuka, Naye atatubariki sisi. Ataubariki mlango wa Israeli, Ataubariki mlango wa Haruni,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwenyezi-Mungu atukumbuka na atatubariki; atawabariki watu wa Israeli, atawabariki wazawa wa Aroni.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
BWANA anatukumbuka na atatubariki: ataibariki nyumba ya Israeli, ataibariki nyumba ya Aroni,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
bwana anatukumbuka na atatubariki: ataibariki nyumba ya Israeli, ataibariki nyumba ya Haruni,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
BWANA ametukumbuka, Naye atatubariki sisi. Ataubariki mlango wa Israeli, Ataubariki mlango wa Haruni,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwenyezi-Mungu atukumbuka na atatubariki; atawabariki watu wa Israeli, atawabariki wazawa wa Aroni.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Bwana hutukumbuka, atubariki. Ataubariki mlango wao wa Waisiraeli, ataubariki nao mlango wake Haroni.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
BWANA ametukumbuka, Naye atatubariki sisi. Ataubariki mlango wa Israeli, Ataubariki mlango wa Haruni,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yawe anatukumbuka na atatubariki. Atawabariki watu wa Israeli, atawabariki wazao wa Haruni,