Psalms 115:13 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Atawabariki wote wamchao, atawabariki wakubwa na wadogo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
atawabariki wale wanaomcha Mwenyezi Mungu, wadogo kwa wakubwa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Atawabariki wamchao Bwana, Wadogo kwa wakubwa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Atawabariki wote wamchao, atawabariki wakubwa na wadogo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
atawabariki wale wanaomcha BWANA, wadogo kwa wakubwa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
atawabariki wale wanaomcha bwana, wadogo kwa wakubwa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Atawabariki wamchao BWANA, Wadogo kwa wakubwa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Atawabariki wote wamchao, atawabariki wakubwa na wadogo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Atawabariki wao wamwogopao Bwana, walio wadogo pamoja nao walio wakubwa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Atawabariki wamchao BWANA, Wadogo kwa wakubwa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
atawabariki wote wanaomwabudu, atawabariki wakubwa kama vile wadogo.