Psalms 115:14 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mwenyezi-Mungu awajalieni muongezeke; awajalieni muongezeke nyinyi na wazawa wenu!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mwenyezi Mungu na awawezeshe kuongezeka, ninyi na watoto wenu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bwana na awaongeze ninyi, Ninyi na watoto wenu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwenyezi-Mungu awajalieni muongezeke; awajalieni muongezeke nyinyi na wazawa wenu!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
BWANA na awawezeshe kuongezeka, ninyi na watoto wenu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
bwana na awawezeshe kuongezeka, ninyi na watoto wenu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
BWANA na awaongeze ninyi, Ninyi na watoto wenu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwenyezi-Mungu awajalieni muongezeke; awajalieni muongezeke nyinyi na wazawa wenu!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Bwana ataendelea kuwafanyia hivyo ninyi nao wana wenu watakaokuwa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
BWANA na awaongeze ninyi, Ninyi na watoto wenu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yawe awajalie muongezeke; awajalie muongezeke ninyi na wazao wenu!