Psalms 115:15 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mbarikiwe na Mwenyezi-Mungu, aliyeziumba mbingu na dunia.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mbarikiwe na Mwenyezi Mungu Muumba wa mbingu na dunia.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na mbarikiwe ninyi na Bwana, Aliyezifanya mbingu na nchi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mbarikiwe na Mwenyezi-Mungu, aliyeziumba mbingu na dunia.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mbarikiwe na BWANA Muumba wa mbingu na dunia.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mbarikiwe na bwana Muumba wa mbingu na dunia.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na mbarikiwe ninyi na BWANA, Aliyezifanya mbingu na nchi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mbarikiwe na Mwenyezi-Mungu, aliyeziumba mbingu na dunia.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ninyi ndio mliobarikiwa naye Bwana aliyezifanya mbingu hata nchi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na mbarikiwe ninyi na BWANA, Aliyezifanya mbingu na nchi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mubarikiwe na Yawe, aliyeumba mbingu na dunia.