Psalms 115:16 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mbingu ni mali yake Mwenyezi-Mungu, bali dunia amewapa binadamu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mbingu zilizo juu sana ni mali ya Mwenyezi Mungu, lakini dunia amempa mwanadamu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mbingu ni mbingu za Bwana, Bali nchi amewapa wanadamu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mbingu ni mali yake Mwenyezi-Mungu, bali dunia amewapa binadamu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mbingu zilizo juu sana ni mali ya BWANA, lakini dunia amempa mwanadamu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mbingu zilizo juu sana ni mali ya bwana, lakini dunia amempa mwanadamu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mbingu ni mbingu za BWANA, Bali nchi amewapa wanadamu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mbingu ni mali yake Mwenyezi-Mungu, bali dunia amewapa binadamu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mbingu ni mbingu zake yeye Bwana, nchi aliwapa wana wa watu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mbingu ni mbingu za BWANA, Bali nchi amewapa wanadamu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mbingu ni mali ya Yawe, lakini amewapa wanadamu dunia.