Psalms 115:17 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wafu hawamsifu Mwenyezi-Mungu, wala wale wanaoshuka katika nchi ya kimya.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Sio wafu wanaomsifu Mwenyezi Mungu, wale wanaoshuka mahali pa kimya,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Sio wafu wamsifuo Bwana, Wala wo wote washukao kwenye kimya;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wafu hawamsifu Mwenyezi-Mungu, wala wale wanaoshuka katika nchi ya kimya.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Sio wafu wanaomsifu BWANA, wale washukao mahali pa kimya,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Sio wafu wanaomsifu bwana, wale washukao mahali pa kimya,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wafu hawamsifu BWANA, Wala yeyote ashukaye kwenye kimya;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wafu hawamsifu Mwenyezi-Mungu, wala wale wanaoshuka katika nchi ya kimya.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Bwana hawamshangilii walio wafu, wala wote walioshukia huko kuliko kimya.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Sio wafu wamsifuo BWANA, Wala wo wote washukao kwenye kimya;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wafu hawamusifu Yawe, wala yeyote aliyeshuka katika kuzimu.