Psalms 115:3 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mungu wetu yuko mbinguni; yeye hufanya yote anayotaka.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mungu wetu yuko mbinguni, naye hufanya lolote limpendezalo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lakini Mungu wetu yuko mbinguni, Alitakalo lote amelitenda.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mungu wetu yuko mbinguni; yeye hufanya yote anayotaka.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mungu wetu yuko mbinguni, naye hufanya lo lote limpendezalo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mungu wetu yuko mbinguni, naye hufanya lolote limpendezalo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini Mungu wetu yuko mbinguni, Alitakalo lote amelitenda.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mungu wetu yuko mbinguni; yeye hufanya yote anayotaka.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini Mungu wetu yuko mbinguni, yote yampendezayo huyafanya.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini Mungu wetu yuko mbinguni, Alitakalo lote amelitenda.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mungu wetu yuko mbinguni; yeye anafanya yote anayotaka.