Psalms 115:6 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ina masikio, lakini haisikii. Ina pua, lakini hainusi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
zina masikio, lakini haziwezi kusikia, zina pua, lakini haziwezi kunusa;
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Zina masikio lakini hazisikii, Zina pua lakini hazisikii harufu,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ina masikio, lakini haisikii. Ina pua, lakini hainusi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
zina masikio, lakini haziwezi kusikia, zina pua, lakini haziwezi kunusa;
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
zina masikio, lakini haziwezi kusikia, zina pua, lakini haziwezi kunusa;
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Zina masikio lakini hazisikii, Zina pua lakini hazinusi harufu,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ina masikio, lakini haisikii. Ina pua, lakini hainusi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
masikio vinayo, lakini havisikii, pua vinazo, lakini havinusi,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Zina masikio lakini hazisikii, Zina pua lakini hazisikii harufu,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ina masikio lakini haisikii. Ina pua lakini hainusi.