Psalms 115:7 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ina mikono, lakini haipapasi. Ina miguu, lakini haitembei. Haiwezi kamwe kutoa sauti.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
zina mikono, lakini haziwezi kupapasa, zina miguu, lakini haziwezi kutembea; wala koo zao haziwezi kutoa sauti.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mikono lakini hazishiki, miguu lakini haziendi, Wala hazitoi sauti kwa koo zake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ina mikono, lakini haipapasi. Ina miguu, lakini haitembei. Haiwezi kamwe kutoa sauti.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
zina mikono, lakini haziwezi kupapasa, zina miguu, lakini haziwezi kutembea; wala koo zao haziwezi kutoa sauti.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
zina mikono, lakini haziwezi kupapasa, zina miguu, lakini haziwezi kutembea; wala koo zao haziwezi kutoa sauti.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Zina mikono lakini hazishiki, Zina miguu lakini haziendi, Wala hazitoi sauti kwa koo zao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ina mikono, lakini haipapasi. Ina miguu, lakini haitembei. Haiwezi kamwe kutoa sauti.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
mikono vinayo, lakini havipapasi, miguu vinayo, lakini haviendi, wala havisemi kwa koo zao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mikono lakini hazishiki, miguu lakini haziendi, Wala hazitoi sauti kwa koo zake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ina mikono lakini haipapasi. Ina miguu lakini haitembei. Haiwezi hata kidogo kutoa sauti.