Psalms 116:1 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nampenda Mwenyezi-Mungu, kwa maana anisikia, maana amesikia kilio cha ombi langu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nampenda Mwenyezi Mungu kwa maana amesikia sauti yangu; amesikia kilio changu ili anihurumie.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Haleluya. Nampenda Bwana kwa kuwa anaisikiliza Sauti yangu na dua zangu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nampenda Mwenyezi-Mungu, kwa maana anisikia, maana amesikia kilio cha ombi langu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Sifa Kwa Mungu Ninampenda BWANA kwa maana amesikia sauti yangu; amesikia kilio changu ili anihurumie.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ninampenda bwana kwa maana amesikia sauti yangu; amesikia kilio changu ili anihurumie.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Haleluya. Nampenda BWANA kwa kuwa anaisikiliza Sauti yangu na dua zangu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nampenda Mwenyezi-Mungu, kwa maana anisikia, maana amesikia kilio cha ombi langu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nampenda Bwana, kwa kuwa husikia, huisikia sauti yangu, nikimlalamikia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Haleluya. Nampenda BWANA kwa kuwa anaisikiliza Sauti yangu na dua zangu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ninamupenda Yawe, kwa maana ananisikia, maana amesikia kilio cha ombi langu.