Psalms 116:12 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nimrudishie nini Mwenyezi-Mungu, kwa ukarimu wote alionitendea?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nimrudishie Mwenyezi Mungu nini kwa wema wake wote alionitendea?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nimrudishie Bwana nini Kwa ukarimu wake wote alionitendea?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nimrudishie nini Mwenyezi-Mungu, kwa ukarimu wote alionitendea?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nimrudishie BWANA nini kwa wema wake wote alionitendea?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nimrudishie bwana nini kwa wema wake wote alionitendea?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nimrudishie BWANA nini Kwa ukarimu wake wote alionitendea?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nimrudishie nini Mwenyezi-Mungu, kwa ukarimu wote alionitendea?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nitawezaje kumrudishia Bwana mema yote, aliyonitendea?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nimrudishie BWANA nini Kwa ukarimu wake wote alionitendea?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nitamurudishia Yawe nini, kwa vyote alivyonitendea?