Psalms 116:13 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nitamtolea tambiko ya divai kwa kunikomboa, nitaomba kwa jina lake Mwenyezi-Mungu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nitakiinua kikombe cha wokovu na kulitangaza jina la Mwenyezi Mungu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nitakipokea kikombe cha wokovu; Na kulitangaza jina la Bwana;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nitamtolea tambiko ya divai kwa kunikomboa, nitaomba kwa jina lake Mwenyezi-Mungu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nitakiinua kikombe cha wokovu na kulitangaza jina la BWANA.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nitakiinua kikombe cha wokovu na kulitangaza jina la bwana.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nitakipokea kikombe cha wokovu; Na kulitangaza jina la BWANA;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nitamtolea tambiko ya divai kwa kunikomboa, nitaomba kwa jina lake Mwenyezi-Mungu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nitakiinua kinyweo chenye wokovu, kisha nitalitambikia Jina lake Bwana.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nitakipokea kikombe cha wokovu; Na kulitangaza jina la BWANA;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nitamutolea sadaka ya divai kwa kumushukuru maana ameniokoa. Nitaomba kwa jina la Yawe.