Psalms 116:15 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kifo cha waaminifu wake Mwenyezi-Mungu si jambo dogo mbele yake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kifo cha watakatifu kina thamani machoni pa Mwenyezi Mungu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ina thamani machoni pa Bwana Mauti ya wacha Mungu wake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kifo cha waaminifu wake Mwenyezi-Mungu si jambo dogo mbele yake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kifo cha watakatifu kina thamani machoni pa BWANA.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kifo cha watakatifu kina thamani machoni pa bwana.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kifo cha wacha Mungu, kina thamani machoni pa BWANA.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kifo cha waaminifu wake Mwenyezi-Mungu si jambo dogo mbele yake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ni jambo kuu machoni pa Bwana, wamchao wakifa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ina thamani machoni pa BWANA Mauti ya wacha Mungu wake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kifo cha waaminifu wa Yawe si jambo dogo mbele yake.