Psalms 116:16 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ee Mwenyezi-Mungu, mimi ni mtumishi wako; ni mtumishi wako, mtoto wa mjakazi wako; umenifungulia vifungo vyangu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ee Mwenyezi Mungu, hakika mimi ni mtumishi wako, mimi ni mtumishi wako, mwana wa mjakazi wako; umeniweka huru toka katika minyororo yangu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ee Bwana, hakika mimi ni mtumishi wako, Mtumishi wako, mwana wa mjakazi wako, Umevifungua vifungo vyangu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ee Mwenyezi-Mungu, mimi ni mtumishi wako; ni mtumishi wako, mtoto wa mjakazi wako; umenifungulia vifungo vyangu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ee BWANA, hakika mimi ni mtumishi wako, mimi ni mtumishi wako, mwana wa mjakazi wako; umeniweka huru toka katika minyororo yangu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ee bwana, hakika mimi ni mtumishi wako, mimi ni mtumishi wako, mwana wa mjakazi wako; umeniweka huru toka katika minyororo yangu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ee BWANA, hakika mimi ni mtumishi wako, Mtumishi wako, mwana wa mjakazi wako, Umevifungua vifungo vyangu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ee Mwenyezi-Mungu, mimi ni mtumishi wako; ni mtumishi wako, mtoto wa mjakazi wako; umenifungulia vifungo vyangu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mimi nakuomba, Bwana, mimi mtumishi wako, mimi mtumishi wako ni mwana wa mjakazi wako, nawe umenifungulia mafungo yangu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ee BWANA, hakika mimi ni mtumishi wako, Mtumishi wako, mwana wa mjakazi wako, Umevifungua vifungo vyangu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ee Yawe, mimi ni mutumishi wako, mutumishi wako, mutoto wa mujakazi wako. Umenifungulia vifungo vyangu.