Psalms 116:18 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nitakutimizia ahadi zangu, ee Mwenyezi-Mungu mbele ya watu wako wote,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nitazitimiza nadhiri zangu kwa Mwenyezi Mungu mbele za watu wake wote,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nitaziondoa nadhiri zangu kwa Bwana, Naam, mbele ya watu wake wote.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nitakutimizia ahadi zangu, ee Mwenyezi-Mungu mbele ya watu wako wote,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nitazitimiza nadhiri zangu kwa BWANA mbele za watu wake wote,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nitazitimiza nadhiri zangu kwa bwana mbele za watu wake wote,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nitaziondoa nadhiri zangu kwa BWANA, Naam, mbele ya watu wake wote.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nitakutimizia ahadi zangu, ee Mwenyezi-Mungu mbele ya watu wako wote,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nitamlipa Bwana, niliyomwapia, wote walio ukoo wake wavione na macho yao,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nitaziondoa nadhiri zangu kwa BWANA, Naam, mbele ya watu wake wote.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nitatimizia ahadi zangu kwa Yawe, mbele ya watu wake wote,