Psalms 116:19 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
waliokusanyika hekaluni mwako, katikati ya Yerusalemu. Msifuni Mwenyezi-Mungu!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
katika nyua za nyumba ya Mwenyezi Mungu, katikati yako, ee Yerusalemu. Msifuni Mwenyezi Mungu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Katika nyua za nyumba ya Bwana, Ndani yako, Ee Yerusalemu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
waliokusanyika hekaluni mwako, katikati ya Yerusalemu. Msifuni Mwenyezi-Mungu!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
katika nyua za nyumba ya BWANA, katikati yako, Ee Yerusalemu. Msifuni BWANA.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
katika nyua za nyumba ya bwana, katikati yako, ee Yerusalemu. Msifuni bwana.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Katika nyua za nyumba ya BWANA, Ndani yako, Ee Yerusalemu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
waliokusanyika hekaluni mwako, katikati ya Yerusalemu. Msifuni Mwenyezi-Mungu!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
katika nyua zake Nyumba ya Bwana, katikati mjini mwako, wewe Yerusalemu. Haleluya!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Katika nyua za nyumba ya BWANA, Ndani yako, Ee Yerusalemu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
katika kiwanja cha hekalu lake, katikati yako, ee Yerusalema. Haleluia!