Psalms 116:3 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hatari ya kifo ilinizunguka, vitisho vya kaburi vilinivamia; nilijawa na mahangaiko na majonzi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kamba za mauti zilinizunguka, vitisho vya Kuzimu vilinipata, nikalemewa na taabu na huzuni.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kamba za mauti zilinizunguka, Shida za kuzimu zilinipata. Naliona taabu na huzuni;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hatari ya kifo ilinizunguka, vitisho vya kaburi vilinivamia; nilijawa na mahangaiko na majonzi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kamba za mauti zilinizunguka, maumivu makuu ya kuzimu yalinipata, nikalemewa na taabu na huzuni.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kamba za mauti zilinizunguka, maumivu makuu ya kuzimu yalinipata, nikalemewa na taabu na huzuni.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kamba za mauti zilinizunguka, Shida za kuzimu zilinipata. Nilipata dhiki na mateso;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hatari ya kifo ilinizunguka, vitisho vya kaburi vilinivamia; nilijawa na mahangaiko na majonzi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Matanzi ya kifo yalikuwa yameninasa, masongano ya kuzimu yakanipata, kwa kuona masikitiko nikasongeka.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kamba za mauti zilinizunguka, Shida za kuzimu zilinipata. Naliona taabu na huzuni;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hatari ya kifo ilinizunguka, vitisho vya kaburi vilinishika; nilisongwa na mahangaiko na huzuni.