Psalms 116:4 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kisha nikamlilia Mwenyezi-Mungu: “Ee Mwenyezi-Mungu, tafadhali unisalimishe!”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ndipo nikaliitia jina la Mwenyezi Mungu: “Ee Mwenyezi Mungu, niokoe!”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nikaliitia jina la Bwana. Ee Bwana, nakuomba sana, Uniokoe nafsi yangu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kisha nikamlilia Mwenyezi-Mungu: “Ee Mwenyezi-Mungu, tafadhali unisalimishe!”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ndipo nikaliitia jina la BWANA: “Ee BWANA, niokoe!”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ndipo nikaliitia jina la bwana: “Ee bwana, niokoe!”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nikaliitia jina la BWANA. Ee BWANA, nakuomba sana, Uniokoe nafsi yangu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kisha nikamlilia Mwenyezi-Mungu: “Ee Mwenyezi-Mungu, tafadhali unisalimishe!”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nikalililia Jina la Bwana ya kwamba: Wewe Bwana, iopoe roho yangu!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nikaliitia jina la BWANA. Ee BWANA, nakuomba sana, Uniokoe nafsi yangu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha nikamulilia Yawe: “Ee Yawe, tafazali uniokoe!”