Psalms 116:5 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mwenyezi-Mungu amejaa wema na uaminifu; Mungu wetu ni mwenye huruma.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mwenyezi Mungu ni mwenye neema na haki, Mungu wetu ni mwingi wa huruma.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bwana ni mwenye neema na haki, Naam, Mungu wetu ni mwenye rehema.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwenyezi-Mungu amejaa wema na uaminifu; Mungu wetu ni mwenye huruma.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
BWANA ni mwenye neema na haki, Mungu wetu ni mwingi wa huruma.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
bwana ni mwenye neema na haki, Mungu wetu ni mwingi wa huruma.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
BWANA ni mwenye neema na haki, Naam, Mungu wetu ni mwenye rehema.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwenyezi-Mungu amejaa wema na uaminifu; Mungu wetu ni mwenye huruma.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Bwana ni mwenye utu na mwenye wongofu, kwa kuwa Mungu wetu hutuonea uchungu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
BWANA ni mwenye neema na haki, Naam, Mungu wetu ni mwenye rehema.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yawe ni mwenye huruma na haki; Mungu wetu ni mwenye rehema.