Psalms 116:6 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mwenyezi-Mungu huwalinda wanyofu; nilipokuwa nimekandamizwa aliniokoa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mwenyezi Mungu huwalinda wanyenyekevu, nilipokuwa katika shida kubwa, aliniokoa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bwana huwalinda wasio na hila; Nalidhilika, akaniokoa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwenyezi-Mungu huwalinda wanyofu; nilipokuwa nimekandamizwa aliniokoa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
BWANA huwalinda wanyenyekevu, nilipokuwa katika shida kubwa, aliniokoa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
bwana huwalinda wanyenyekevu, nilipokuwa katika shida kubwa, aliniokoa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
BWANA huwalinda wasio na hila; Nilidhilika, akaniokoa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwenyezi-Mungu huwalinda wanyofu; nilipokuwa nimekandamizwa aliniokoa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Walio kama wachanga Bwana huwalinda; nilipokuwa mnyonge, aliniokoa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
BWANA huwalinda wasio na hila; Nalidhilika, akaniokoa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yawe anawalinda wajinga; nilipokuwa nimegandamizwa aliniokoa.