Psalms 116:7 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Uwe na utulivu mkuu, ee nafsi yangu, maana Mwenyezi-Mungu amenitendea mema.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ee nafsi yangu, tulia tena, kwa kuwa Mwenyezi Mungu amekuwa mwema kwako.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ee nafsi yangu, urudi rahani mwako, Kwa kuwa Bwana amekutendea ukarimu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Uwe na utulivu mkuu, ee nafsi yangu, maana Mwenyezi-Mungu amenitendea mema.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ee nafsi yangu, tulia tena, kwa kuwa BWANA amekuwa mwema kwako.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ee nafsi yangu, tulia tena, kwa kuwa bwana amekuwa mwema kwako.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ee nafsi yangu, urudi rahani mwako, Kwa kuwa BWANA amekutendea ukarimu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Uwe na utulivu mkuu, ee nafsi yangu, maana Mwenyezi-Mungu amenitendea mema.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Rudi, roho yangu, kwenye kituo chako! Kwani Bwana ndiye aliyekutendea mema.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ee nafsi yangu, urudi rahani mwako, Kwa kuwa BWANA amekutendea ukarimu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ukuwe na utulivu mukubwa, ee nafsi yangu, kwa vyote Yawe amenitendea.