Psalms 116:8 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ameniokoa kifoni na kufuta machozi yangu; akanilinda nisije nikaanguka.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa kuwa wewe, Ee Mwenyezi Mungu, umeniokoa nafsi yangu na mauti, macho yangu kutokana na machozi, miguu yangu kutokana na kujikwaa,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Maana umeniponya nafsi yangu na mauti, Macho yangu na machozi, Na miguu yangu na kuanguka.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ameniokoa kifoni na kufuta machozi yangu; akanilinda nisije nikaanguka.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa kuwa wewe, Ee BWANA, umeniokoa nafsi yangu na mauti, macho yangu kutokana na machozi, miguu yangu kutokana na kujikwaa,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa kuwa wewe, Ee bwana, umeniokoa nafsi yangu na mauti, macho yangu kutokana na machozi, miguu yangu kutokana na kujikwaa,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Maana umeniponya nafsi yangu na mauti, Macho yangu na machozi, Na miguu yangu na kuanguka.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ameniokoa kifoni na kufuta machozi yangu; akanilinda nisije nikaanguka.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Maana umeiopoa roho yangu katika kufa, ukafuta machozi machoni pangu, ukaishika miguu yangu, isijikwae.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Maana umeniponya nafsi yangu na mauti, Macho yangu na machozi, Na miguu yangu na kuanguka.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ameniokoa toka kifo na kufuta machozi yangu; akanilinda nisianguke.