Psalms 116:9 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nitatembea mbele yake Mwenyezi-Mungu, katika nchi ya watu walio hai.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
ili niweze kutembea mbele za Mwenyezi Mungu, katika nchi ya walio hai.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nitaenenda mbele za Bwana Katika nchi za walio hai.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nitatembea mbele yake Mwenyezi-Mungu, katika nchi ya watu walio hai.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
ili niweze kutembea mbele za BWANA, katika nchi ya walio hai.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
ili niweze kutembea mbele za bwana, katika nchi ya walio hai.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nitaenenda mbele za BWANA Katika nchi za walio hai.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nitatembea mbele yake Mwenyezi-Mungu, katika nchi ya watu walio hai.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa kumtazamia Bwana nitaendelea vivyo hivyo katika nchi zao walio hai.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nitaenenda mbele za BWANA Katika nchi za walio hai.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nitatembea mbele ya Yawe, katika inchi ya watu wenye kuwa wazima.