Psalms 117:1 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Enyi mataifa yote, msifuni Mwenyezi-Mungu! Enyi watu wote mhimidini!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Msifuni Mwenyezi Mungu, enyi mataifa yote; mtukuzeni yeye, enyi watu wote.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Haleluya. Enyi mataifa yote, msifuni Bwana, Enyi watu wote, mhimidini.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Enyi mataifa yote, msifuni Mwenyezi-Mungu! Enyi watu wote mhimidini!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Msifuni BWANA, enyi mataifa yote; mtukuzeni yeye, enyi watu wote.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Msifuni bwana, enyi mataifa yote; mtukuzeni yeye, enyi watu wote.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Haleluya. Enyi mataifa yote, msifuni BWANA, Enyi watu wote, mhimidini.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Enyi mataifa yote, msifuni Mwenyezi-Mungu! Enyi watu wote mhimidini!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mshangilieni Bwana, ninyi wamizimu wote! ninyi makabila yote ya watu, msifuni!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Haleluya. Enyi mataifa yote, msifuni BWANA, Enyi watu wote, mhimidini.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Enyi mataifa yote, mumusifu Yawe! Enyi watu wote, mumutukuze!