Psalms 117:2 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Maana fadhili zake kwetu sisi ni kuu; uaminifu wake Mwenyezi-Mungu wadumu milele! Msifuni Mwenyezi-Mungu!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa kuwa upendo wake kwetu ni mkuu, uaminifu wa Mwenyezi Mungu unadumu milele. Msifuni Mwenyezi Mungu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Maana fadhili zake kwetu sisi ni kuu, Na uaminifu wa Bwana ni wa milele.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Maana fadhili zake kwetu sisi ni kuu; uaminifu wake Mwenyezi-Mungu wadumu milele! Msifuni Mwenyezi-Mungu!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa kuwa upendo wake kwetu ni mkuu, uaminifu wa BWANA unadumu milele. Msifuni BWANA.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa kuwa upendo wake kwetu ni mkuu, uaminifu wa bwana unadumu milele. Msifuni bwana.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Maana fadhili zake kwetu sisi ni kuu, Na uaminifu wa BWANA ni wa milele.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Maana fadhili zake kwetu sisi ni kuu; uaminifu wake Mwenyezi-Mungu wadumu milele! Msifuni Mwenyezi-Mungu!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani upole wake hutenda makuu kwetu sisi, nao welekevu wake Bwana ni wa kale na kale! Haleluya!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Maana fadhili zake kwetu sisi ni kuu, Na uaminifu wa BWANA ni wa milele.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Maana wema wake kwetu sisi ni mwingi; uaminifu wa Yawe unadumu milele! Haleluia!