Psalms 118:10 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mataifa yote yalinizingira, lakini kwa jina la Mwenyezi-Mungu nikayaangamiza!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mataifa yote yalinizunguka, lakini kwa jina la Mwenyezi Mungu naliwakatilia mbali.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mataifa yote walinizunguka; Kwa jina la Bwana naliwakatilia mbali.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mataifa yote yalinizingira, lakini kwa jina la Mwenyezi-Mungu nikayaangamiza!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mataifa yote yalinizunguka, lakini kwa jina la BWANA naliwakatilia mbali.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mataifa yote yalinizunguka, lakini kwa jina la bwana naliwakatilia mbali.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mataifa yote walinizunguka; Kwa jina la BWANA niliwakatilia mbali.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mataifa yote yalinizingira, lakini kwa jina la Mwenyezi-Mungu nikayaangamiza!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wamizimu wote walikuwa wamenizunguka, vikawa kwa nguvu ya Jina la Bwana, nikiwaponda.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mataifa yote walinizunguka; Kwa jina la BWANA naliwakatilia mbali.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mataifa yote yalinizunguka, lakini kwa jina la Yawe nikayaangamiza!