Psalms 118:11 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yalinizunguka kila upande, lakini kwa jina la Mwenyezi-Mungu, nikayaangamiza!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Walinizunguka pande zote, lakini kwa jina la Mwenyezi Mungu naliwakatilia mbali.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Walinizunguka, naam, walinizunguka; Kwa jina la Bwana naliwakatilia mbali.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yalinizunguka kila upande, lakini kwa jina la Mwenyezi-Mungu, nikayaangamiza!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Walinizunguka pande zote, lakini kwa jina la BWANA naliwakatilia mbali.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Walinizunguka pande zote, lakini kwa jina la bwana naliwakatilia mbali.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Walinizunguka, naam, walinizunguka; Kwa jina la BWANA niliwakatilia mbali.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yalinizunguka kila upande, lakini kwa jina la Mwenyezi-Mungu, nikayaangamiza!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kweli walikuwa wamenizungukana kunizinga, vikawa kwa nguvu ya Jina la Bwana, nikiwaponda.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Walinizunguka, naam, walinizunguka; Kwa jina la BWANA naliwakatilia mbali.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yalinizunguka kila upande, lakini kwa jina la Yawe, nikayaangamiza!