Psalms 118:12 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yalinizunguka, mengi kama nyuki, lakini yakateketea kama kichaka motoni; kwa jina la Mwenyezi-Mungu niliyaangamiza!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Walinizunguka kama kundi la nyuki, lakini walikufa haraka kama miiba iteketeayo; kwa jina la Mwenyezi Mungu naliwakatilia mbali.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Walinizunguka kama nyuki, Walizimika kama moto wa miibani; Kwa jina la Bwana naliwakatilia mbali.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yalinizunguka, mengi kama nyuki, lakini yakateketea kama kichaka motoni; kwa jina la Mwenyezi-Mungu niliyaangamiza!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Walinizunguka kama kundi la nyuki, lakini walikufa haraka kama miiba iteketeayo; kwa jina la BWANA naliwakatilia mbali.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Walinizunguka kama kundi la nyuki, lakini walikufa haraka kama miiba iteketeayo; kwa jina la bwana naliwakatilia mbali.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Walinizunguka kama nyuki, Walizimika kama moto wa miibani; Kwa jina la BWANA niliwakatilia mbali.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yalinizunguka, mengi kama nyuki, lakini yakateketea kama kichaka motoni; kwa jina la Mwenyezi-Mungu niliyaangamiza!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Walikuwa wamenizunguka kama nyuki, wakazimia upesi kama moto wa miiba; vikawa kwa nguvu ya Bwana, nikiwaponda.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Walinizunguka kama nyuki, Walizimika kama moto wa miibani; Kwa jina la BWANA naliwakatilia mbali.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yalinizunguka, mengi kama nyuki, lakini yakateketea kama kichaka ndani ya moto; kwa jina la Yawe niliyaangamiza!