Psalms 118:13 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nilishambuliwa mno karibu nishindwe, lakini Mwenyezi-Mungu alinisaidia.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nilisukumwa nyuma karibu kuanguka, lakini Mwenyezi Mungu alinisaidia.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ulinisukuma sana ili nianguke; Lakini Bwana akanisaidia.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nilishambuliwa mno karibu nishindwe, lakini Mwenyezi-Mungu alinisaidia.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nilisukumwa nyuma karibu kuanguka, lakini BWANA alinisaidia.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nilisukumwa nyuma karibu kuanguka, lakini bwana alinisaidia.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ulinisukuma sana ili nianguke; Lakini BWANA akanisaidia.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nilishambuliwa mno karibu nishindwe, lakini Mwenyezi-Mungu alinisaidia.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Walizidi kunikumba, nianguke, lakini Bwana akanisaidia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ulinisukuma sana ili nianguke; Lakini BWANA akanisaidia.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nilishambuliwa sana karibu nishindwe, lakini Yawe alinisaidia.