Psalms 118:14 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mwenyezi-Mungu ni nguvu yangu kuu; yeye mwenyewe ndiye wokovu wangu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mwenyezi Mungu ni nguvu yangu na wimbo wangu, yeye amefanyika wokovu wangu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bwana ni nguvu zangu na wimbo wangu, Naye amekuwa wokovu wangu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwenyezi-Mungu ni nguvu yangu kuu; yeye mwenyewe ndiye wokovu wangu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
BWANA ni nguvu yangu na wimbo wangu, yeye amefanyika wokovu wangu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
bwana ni nguvu yangu na wimbo wangu, yeye amefanyika wokovu wangu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
BWANA ni nguvu zangu na wimbo wangu, Naye amekuwa wokovu wangu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwenyezi-Mungu ni nguvu yangu kuu; yeye mwenyewe ndiye wokovu wangu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
*Bwana ni nguvu zangu na wimbo wangu, maana alinijia, akawa mwokozi wangu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
BWANA ni nguvu zangu na wimbo wangu, Naye amekuwa wokovu wangu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yawe ni nguvu yangu kubwa; yeye mwenyewe ndiye wokovu wangu.