Psalms 118:15 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Sauti za furaha ya ushindi zasikika hemani mwao waadilifu: “Mkono wa Mwenyezi-Mungu umetenda mambo makuu!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Sauti za shangwe na ushindi zinavuma kwenye hema za wenye haki: “Mkono wa kuume wa Mwenyezi Mungu umetenda mambo makuu!
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Sauti ya furaha na wokovu Imo hemani mwao wenye haki; Mkono wa kuume wa Bwana hutenda makuu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Sauti za furaha ya ushindi zasikika hemani mwao waadilifu: “Mkono wa Mwenyezi-Mungu umetenda mambo makuu!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Sauti za shangwe na ushindi zinavuma hemani mwa wenye haki: “Mkono wa kuume wa BWANA umetenda mambo makuu!
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Sauti za shangwe na ushindi zinavuma hemani mwa wenye haki: “Mkono wa kuume wa bwana umetenda mambo makuu!
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Sauti ya furaha na wokovu Imo hemani mwao wenye haki; Mkono wa kuume wa BWANA hutenda makuu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Sauti za furaha ya ushindi zasikika hemani mwao waadilifu: “Mkono wa Mwenyezi-Mungu umetenda mambo makuu!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Shangwe za kuushangilia wokovu huu husikilika kwenye vituo vyao waongofu: Mkono wa kuume wa Bwana hufanya yenye nguvu!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Sauti ya furaha na wokovu Imo hemani mwao wenye haki; Mkono wa kuume wa BWANA hutenda makuu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Sauti za furaha ya ushindi zikasikilika katika hema za watu wa haki: “Mukono wa Yawe umetenda mambo makubwa!