Psalms 118:16 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mkono wa nguvu wa Mwenyezi-Mungu umeleta ushindi! Mkono wa Mwenyezi-Mungu umetenda mambo makuu!”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mkono wa kuume wa Mwenyezi Mungu umeinuliwa juu, mkono wa kuume wa Mwenyezi Mungu umetenda mambo makuu!”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mkono wa kuume wa Bwana umetukuzwa; Mkono wa kuume wa Bwana hutenda makuu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mkono wa nguvu wa Mwenyezi-Mungu umeleta ushindi! Mkono wa Mwenyezi-Mungu umetenda mambo makuu!”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mkono wa kuume wa BWANA umeinuliwa juu, mkono wa kuume wa BWANA umetenda mambo makuu!”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mkono wa kuume wa bwana umeinuliwa juu, mkono wa kuume wa bwana umetenda mambo makuu!”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mkono wa kuume wa BWANA umetukuzwa; Mkono wa kuume wa BWANA hutenda makuu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mkono wa nguvu wa Mwenyezi-Mungu umeleta ushindi! Mkono wa Mwenyezi-Mungu umetenda mambo makuu!”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mkono wa kuume wa Bwana umetukuka, mkono wa kuume wa Bwana hufanya yenye nguvu!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mkono wa kuume wa BWANA umetukuzwa; Mkono wa kuume wa BWANA hutenda makuu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mukono wa nguvu wa Yawe umeleta ushindi! Mukono wa Yawe umetenda mambo makubwa!”