Psalms 118:17 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Sitakufa, bali nitaishi, na kusimulia matendo ya Mwenyezi-Mungu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Sitakufa, bali nitaishi, nami nitayatangaza matendo ya Mwenyezi Mungu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Sitakufa bali nitaishi, Nami nitayasimulia matendo ya Bwana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Sitakufa, bali nitaishi, na kusimulia matendo ya Mwenyezi-Mungu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Sitakufa bali nitaishi, nami nitatangaza yale BWANA aliyoyatenda.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Sitakufa, bali nitaishi, nami nitatangaza yale bwana aliyoyatenda.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Sitakufa bali nitaishi, Nami nitayasimulia matendo ya BWANA.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Sitakufa, bali nitaishi, na kusimulia matendo ya Mwenyezi-Mungu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Sitakufa, ila nitakuwapo, niyasimulie matendo ya Bwana.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Sitakufa bali nitaishi, Nami nitayasimulia matendo ya BWANA.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Sitakufa. Nitaishi na kueleza matendo ya Yawe.