Psalms 118:18 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mwenyezi-Mungu ameniadhibu sana, lakini hakuniacha nife.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mwenyezi Mungu ameniadhibu vikali, lakini hakuniacha nife.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bwana ameniadhibu sana, Lakini hakuniacha nife.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwenyezi-Mungu ameniadhibu sana, lakini hakuniacha nife.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
BWANA ameniadhibu vikali, lakini hakuniacha nife.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
bwana ameniadhibu vikali, lakini hakuniacha nife.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
BWANA ameniadhibu sana, Lakini hakuniacha nife.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwenyezi-Mungu ameniadhibu sana, lakini hakuniacha nife.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kweli Bwana hunichapa, lakini hanitoi, nife.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
BWANA ameniadhibu sana, Lakini hakuniacha nife.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yawe ameniazibu sana, lakini hakuniachilia nikufe.